alt text

Jinpure Tea


Viungo:




jinpure tea

Flos Lonicerae, Herba Taraxi, Herba Houttuyniae, Fructus Forsythiae, Apricot Kernel, Herba Portulacae, Green Tea.








Inafaa Kutumiwa Na:




Maelezo Muhimu:

Tiba ya kale ya kichina (TCM) inaelezaje kuhusu kujizuia na maambukizi ya virusi?

"As long as healthy energy flow in the body is ensured, pathogenic factors have little chance to invade human body." Yaani, kama kuna mzunguko wa kuaminika wa nishati katika mwili, vijidudu washambulizi wanakuwa na nafasi finyu kabisa.

Ni vipi Viambato 7 vinaweza kurekebisha kinga za mwili na kuua virusi?

Fomyula Ya Tiba Ya Kichina

Monarch: Flos Lonicerae (honeysuckle)
Minister: Herba Taraxaci (dandelion)
Herba Houttuyniae
Helper: Fructus Forsythiae
Apricot Kernel
Herba Portulacae
Conductor: Green Tea

Flos Lonicerae (honeysuckle):
Mmea huu umetumika kwa miaka mingi na wachina kwa ajili ya magonjwa ya mlipuko (flu). Tiba ya kisasa imethibitisha kuwa mmea wa honeysuckle una tabia ya kupambana na virusi ma bakteria. Na katika majaribio yaliyofanywa kwa wanyama, mmea huu pia umeonyesha kuwa na mchango katiba kurekebisha kinga za mwili.

honeysuckle

Herba Taraxaci (Dandelion):
Katika tiba ya sili ya sili ya kichina, danDelion ni mmea ambao umetumika kuusafisha mwili kutokana na mashambulizi ya vidudu. Kwenye majaribio yaliyofanywa nje ya mwili, mmea wa dandelion umedhihirisha kuwa na tabia ya kupambana na virusi wa influenza (influenza virus type A, na H1N1.) Mmea huu una tabia ya kupambana na bakteria wanasababisha maambukizo kwenye mfumo wa upumuaji kama koo za staphylococcus Aureus, Hemolytic Streptococcus na Pneumococci.

dandelion



Herba Houttuyniae
. Mafuta muhimu: anti-inflammatory, kupambana na bakteria na virusi
. Flavonoids: antioxidants ambazo zinapambana na free radicals
. Alkaloid: hupunguza kuganda kwa platelets
. Ulipendekezwa kama mmoja ya majani ya kujizuia dhidi ya SARS ya 2003 huko China.



dandelion

Fructus Forsythiae :
Mmea wenye tabia ya kupambana na virusi: Unapambana na Respiratory syncytial virus (RSV), adenovirus na Coxsackie virus.
Majaribio kwa wanyama yalionyesha kwamba forsythiaside ni antipyretic ambayo inaweza kuzuia kwa kiwango kikubwa kuogezeka kwa homa.

fructus forsythiae

Apricot Kernel:
Kokwa za aprikoti zimetumika zikichanganywa na mimea mingine kwa miaka zaidi ya 3000 ili kutibu magonjwa ya mfumo wa upumuaji.
Inafanya kazi ya kuondoa kukaza kwa ghafla kwa misuli laini ya koromeo.
Huwezesha kupata pumzi nzito na kukohoa kirahisi kwa kuisimamisha sehemu muhimu ya upumuaji ndani ya ubongo .

apricot kernel

Herba Portulacae (Purslane):
Purslane iliyoka kuchumwa ni kitoa sumu asilia. Ikitumika kama kiambato kinachotokana na majani, polysaccharides na flavones zilizomo zinaweza kuondoa kikohozi na pumu kwa kuilegeza misuli laini iliyopo juu ya kikoromeo (bronchiole.)


purslane

green  tea

Green Tea:
WHO inakiita ni kinywaji chenye afya. Green tea ina uwingi wa polyphenols, kiungo chenye nguvu, chenye sumu kidogo kilicho na uwezo wa kupambana na bakteria wa aina nyingi. Green tea ina uwezo wa kuwazuia na kuwaua bakteria wengi waletao magonjwa, kama Proteus vulgaris, Staphylococcus aureus, Staphylococcus epidermidis, na Streptococcus mutans, na hasa bakteria waletao magonjwa wa ndani ya utumbo. Huzuia mashambulizi yatokanayo na bakteria walio sugu kwa antibiotics wa aina ya Staphylococcus. Mchujo wa green tea unaweza kuwazuia virusi wa influenza A na B. Catechins iliyomo ndani ya green tea inaweza kuwazuia virusi waitwao respiratory syncytial virus (RSV.) Hutumika kama kitu cha kuwezesha ufyonwaji wa viambato vingine na kulinda vitu vingine kupitia tabia yake ya kuwa ni antioxidant.



Fomyula ya Chai ya Jinpure

fomyula ya jinpure



Propolis



<<<<< MWANZO